Tamaa Mbaya

Tamaa Mbaya

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,404
TAMAA MBAYA

Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake:

JAMAA: Shem nakupenda!

MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki
yako akijua? tena koma!

JAMAA: Ntakupa milioni 1!

MKE: Basi njoo kesho mchana
mume wangu akiwa kazini!
Kesho yake Jamaa kaja
na milioni 1 wakamalizana na mke wa rafki yake,

jioni ilipofika
Mume akarudi home na
kumuuliza Mkewe, "Rafki yangu SAM kaleta hela yangu milioni 1?"

MKE akajibu kwa unyonge, "Ndio!"

MUME: Yes! Ndio maana nampenda SAM kanikopa asubuhi jioni karejesha!!!!

Mke hoi mzgo umeliwa bure......! kweli heshima pesa ndoa Vigelegele.[emoji122][emoji1][emoji122][emoji1]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiiii kazi kweli kweli
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Waweza mtegea sumu km sikumchoma wanawake mmuachage tamas jamani duh mnahaibisha
 
Back
Top Bottom