Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Siku hizi kutamani kunaitwa kupenda,ndio maana mtu anaetafuta mpenzi/mke/mume utasikia sijui nataka mweusi,mweupe,mrefu,mfupi,mwembamba nk,all this had nothing to do with true love,upendo haujalishi unaonekanaje ndo maana ndoa na mahusiano yanayoanzishwa kwa sifa za kushikika hufa mapema coz zimeanzishwa kwa misingi ya tamaa ya mwili na si upendo halisi