Mmm kwani siku hizi kunakupenda?
Mmm kwani siku hizi kunakupenda?
Siku hizi kutamani kunaitwa kupenda,ndio maana mtu anaetafuta mpenzi/mke/mume utasikia sijui nataka mweusi,mweupe,mrefu,mfupi,mwembamba nk,all this had nothing to do with true love,upendo haujalishi unaonekanaje ndo maana ndoa na mahusiano yanayoanzishwa kwa sifa za kushikika hufa mapema coz zimeanzishwa kwa misingi ya tamaa ya mwili na si upendo halisi
kupenda kupo... ila kunakuja baada ya kumfahamu, kujua ukubwa wa wallet/balance check, kujua kazi, kujua wanafamilia n.k
Huko sio kupenda dada Asha kama umeolewa au una mpenzi/mchumba na mmekutana kwenye mazingira haya jiandae kupigwa kibuti!!
Mmm kwani siku hizi kunakupenda?
Kupenda kupo sana ila Kupendana ndo hakuna..upendo siku hizi unakula pande moja tu ....