Tamaa ya mke wa mtu; kichekesho Umizi

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
913
Reaction score
582
Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake:
JAMAA: Shem nakupenda!
MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki
yako akijua? Tena koma!
JAMAA: Ntakupa milioni 1!
MKE: Basi njoo kesho mchana
mume wangu akiwa kazini!

Kesho yake Jamaa kaja
na milioni 1 wakamalizana na mke wa rafiki yake,
jioni ilipofika
Mume akarudi home na
kumuuliza Mkewe, “Rafki yangu SAM kaleta hela yangu milioni 1?”
MKE akajibu kwa unyonge, “Ndio!”
MUME: Yes! Ndio maana nampenda SAM kanikopa asubuhi jioni karejesha!!!!
Mke hoi……

Hebu mwanamke vaa uhusika wa huyo mwamke na mwanaume, vaa uhusika wa Mume na Wasam.
 
ahh wanawake wana kisasi sana dahhh majuto ni mjukuuu😱😱😱😱😱😱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…