TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Nguvu ya msuli ulio ndani ya boxaKAMA MWANAUME
Adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO.
Mwanaume mwenye tamaa HII ya ngono
Ndani ya dk 5 anaweza poteza ndoto na malengo ya miaka 20 ijayo
Ndani ya ngono kuna
BARAKA
LAANA
UZIMA
MAUTI
KUPATA
KUKOSA
Nguvu ya msuli ulio ndani ya boxa
Unaweza kukufanya uwe kipofu kama Samson,
Ujinga wa tamaa uliofichwa katikati ya mapaja
Unaweza kukufanya ulie na kuomboleza kama DAUDI.
NA : Creezle Farey
Umeona ehhNguvu ya msuli ulio ndani ya boxa
Unaweza kukufanya uwe kipofu kama Samson,
Ujinga wa tamaa uliofichwa katikati ya mapaja
Unaweza kukufanya ulie na kuomboleza kama DAUDI.
Ushaukwaa unakuja kutupa risala sioKAMA MWANAUME
Adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO.
Mwanaume mwenye tamaa HII ya ngono
Ndani ya dk 5 anaweza poteza ndoto na malengo ya miaka 20 ijayo
Ndani ya ngono kuna
BARAKA
LAANA
UZIMA
MAUTI
KUPATA
KUKOSA
Nguvu ya msuli ulio ndani ya boxa
Unaweza kukufanya uwe kipofu kama Samson,
Ujinga wa tamaa uliofichwa katikati ya mapaja
Unaweza kukufanya ulie na kuomboleza kama DAUDI.
NA : Creezle Farey
Wewe wasemaUshaukwaa unakuja kutupa risala sio
Wee endeleza TU ufuskaWasiwasi Wako Tu....
Wee endeleza TU ufuska
Mkuu ni kwanini Madam B anakupe da Mnoooo nini Unampa???🙌😀😩 Nileenda na Hela zangu kanipiga chini😩Ushaukwaa unakuja kutupa risala sio
Kujiendekeza tu wala si asili na pia malezi uliyokulia.Sio tamaa ni maumbile ya asili