central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
Uko sahihi mkuu nadhani pia ili uizungumie vyema Tamaduni Muziki lazima tuanzie Kule Kwa enzi zaRunduno... One, Nikki mbishi, Stereo na baadaye kina Songa..Tamaduni ilianza around 2012 huku muasisi akiwa na duke tachez, kufa kwake nadhani kulianza baada ya wasanii wake kumaliza contract na m-lab hivyo ikakosa muelekeo kuanzia apo.
kwa sasa imefunikwa na mwamvuli mwingine wa kikosi kazi ambao naona kabisa umekosa platform pamoja na kua una watu wamaana sana ndani yake.
Sina uhakika sana naweza kusahihishwa.
Nafikiri vyombo vya habari vimewatupa.Uko sahihi mkuu nadhani pia ili uizungumie vyema Tamaduni Muziki lazima tuanzie Kule Kwa enzi zaRunduno... One, Nikki mbishi, Stereo na baadaye kina Songa..
Kosa lao kubwa hawakua na direction pia consistency... Ila walituachia mapini makali Sana...
Mapini makali? 😂Uko sahihi mkuu nadhani pia ili uizungumie vyema Tamaduni Muziki lazima tuanzie Kule Kwa enzi zaRunduno... One, Nikki mbishi, Stereo na baadaye kina Songa..
Kosa lao kubwa hawakua na direction pia consistency... Ila walituachia mapini makali Sana...
Huwezi kua Fanani Bila Hadhira....Mapini makali? [emoji23]
Nyimbo zao za kusikiliza ghetto tu hakuna pini Kali hata moja