Nafikiri anaefanya vizuri hapo ni Kontawa wengine hao bado hawajatoboa. So Tamaduni music tuseme ni failure project.Hiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle.
Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka na bachelor degree inayowasaidia kupata mkate wa kila siku,
*Kontawa
*Maarifa
*Toxic
*Pmawenge
*Kado kitengo
*Wakazi
*Dizasta vina
Nk.
hawa ni wanaofanya vizuri kwa sasa,
Wapo vijana wengi wamepitia TM kupigwa msasa na matumaini yangu tutaendelea kuwaona wakiibuka wengine
Una hoja nzito usikilizwe.Hicho ni kikundi Cha wahuni ambao baada ya kuvuta bangi hujiona wao ndio wanajua hip pop kuliko waanzilishi wa hip hop.Kiufupi bangi hawaiwezi wengi wao
Kamwe hawaelewi hip hop ni fasihi inayokuwa na kubadilika ndio maana hata wengine wanasema misingi ya hip hop imeongezeka. lakini wao wanakomaa na muziki wa BC na kujiona ndio wamililiki Halali na waanzilishi wa hip hop all over the world
Itaendelea
wakazi nae anafanya vizuri anayeufahamu wimbo wake wowote replu me pleaseHiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle.
Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka na bachelor degree inayowasaidia kupata mkate wa kila siku,
*Kontawa
*Maarifa
*Toxic
*Pmawenge
*Kado kitengo
*Wakazi
*Dizasta vina
Nk.
hawa ni wanaofanya vizuri kwa sasa,
Wapo vijana wengi wamepitia TM kupigwa msasa na matumaini yangu tutaendelea kuwaona wakiibuka wengine
Sawa nyie mziki wenu unao support [emoji304] tumekusikiaHicho ni kikundi Cha wahuni ambao baada ya kuvuta bangi hujiona wao ndio wanajua hip pop kuliko waanzilishi wa hip hop.Kiufupi bangi hawaiwezi wengi wao
Kamwe hawaelewi hip hop ni fasihi inayokuwa na kubadilika ndio maana hata wengine wanasema misingi ya hip hop imeongezeka. lakini wao wanakomaa na muziki wa BC na kujiona ndio wamililiki Halali na waanzilishi wa hip hop all over the world
Itaendelea
Tatizo muziki wa HipHop bongo umekosa nguvu kitu kilichopelekea uwekezaji kwenye muziki huo uwe wa kusuasua ndio maana quality ya productions za audio na video ziko low kulinganisha na wabana pua.Hicho ni kikundi Cha wahuni ambao baada ya kuvuta bangi hujiona wao ndio wanajua hip pop kuliko waanzilishi wa hip hop.Kiufupi bangi hawaiwezi wengi wao
Kamwe hawaelewi hip hop ni fasihi inayokuwa na kubadilika ndio maana hata wengine wanasema misingi ya hip hop imeongezeka. lakini wao wanakomaa na muziki wa BC na kujiona ndio wamililiki Halali na waanzilishi wa hip hop all over the world
Itaendelea
huwafahamu tamaduni wewe, acha kusikiliza habari za vijiweniHicho ni kikundi Cha wahuni ambao baada ya kuvuta bangi hujiona wao ndio wanajua hip pop kuliko waanzilishi wa hip hop.Kiufupi bangi hawaiwezi wengi wao
Kamwe hawaelewi hip hop ni fasihi inayokuwa na kubadilika ndio maana hata wengine wanasema misingi ya hip hop imeongezeka. lakini wao wanakomaa na muziki wa BC na kujiona ndio wamililiki Halali na waanzilishi wa hip hop all over the world
Itaendelea
Atafute kazi ya kufanya ameshafeli muziki umemkataa.Seriously humjui mawenge
Hapo nawakubali watu tu ambao ni DIZASTA VINA, CADO NONDO NA TOXIC.. huyo kontawa hata aimbe na shetani hanishawishi kivyovyote.Nafikiri anaefanya vizuri hapo ni Kontawa wengine hao bado hawajatoboa. So Tamaduni music tuseme ni failure project.
Hamna kitu pale... Haingii hata theluthi kwa UNO (The incredible)Atafute kazi ya kufanya ameshafeli muziki umemkataa.
Ni beki tatuWakazi ana Kazi gani ki sanaa?