Mpigania uhuru wa pili JF-Expert Member Joined Apr 12, 2023 Posts 3,380 Reaction score 6,376 Jun 21, 2023 #1 Kabila la wazinza lipo sengerema, geita na sehemu mbali mbali za kanda ya ziwa Ambaye anazijua tamadun za kabila la wazinza naomba anijuze Note: wale watukanaji na wale wenye stress huu sio uzi wa kumalizia stress zenu
Kabila la wazinza lipo sengerema, geita na sehemu mbali mbali za kanda ya ziwa Ambaye anazijua tamadun za kabila la wazinza naomba anijuze Note: wale watukanaji na wale wenye stress huu sio uzi wa kumalizia stress zenu
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 Jun 21, 2023 #3 Wazinza ni kabila la watu kutoka eneo la kusini-magharibi kwa Ziwa Viktoria na visiwa vya jirani, nchini Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Wazinza ilikadiriwa kuwa 138,000 [1]. Lugha yao ni Kizinza. Kazi yao ilikuwa uvuvi, ufugaji na uwindaji pamoja na kilimo. Kwa sasa wamejikita katika anga la wasomi maana wametapakaa kila taaluma na kila mahali. Vyakula asilia wanavyovipenda[hariri | hariri chanzo]Wazinza walio wengi hupenda kula ugali wa mhogo, ndizi, samaki (hasa sato, sangara, mumi, kamongo, dagaa, mbete, nshonzi) na nyama. Lakini pia kutokana na uhaba wa vyakula hivyo na mgawanyo wa makazi na kazi, Wazinza wamekuwa wakila vyakula vya aina nyingine nyingi. Mfano ni wali, ugali wa mtama, ugali wa mahindi, mboga za majani kama vile msusa, kisamvu, mchicha, n.k. Vyakula asilia kama maboga, viazi vitamu, mihogo mitamu, kunde, maharage ni miongoni mwa vyakula muhimu sana kwa Wazinza KWA HISANI YA WIKIPIDIA
Wazinza ni kabila la watu kutoka eneo la kusini-magharibi kwa Ziwa Viktoria na visiwa vya jirani, nchini Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Wazinza ilikadiriwa kuwa 138,000 [1]. Lugha yao ni Kizinza. Kazi yao ilikuwa uvuvi, ufugaji na uwindaji pamoja na kilimo. Kwa sasa wamejikita katika anga la wasomi maana wametapakaa kila taaluma na kila mahali. Vyakula asilia wanavyovipenda[hariri | hariri chanzo]Wazinza walio wengi hupenda kula ugali wa mhogo, ndizi, samaki (hasa sato, sangara, mumi, kamongo, dagaa, mbete, nshonzi) na nyama. Lakini pia kutokana na uhaba wa vyakula hivyo na mgawanyo wa makazi na kazi, Wazinza wamekuwa wakila vyakula vya aina nyingine nyingi. Mfano ni wali, ugali wa mtama, ugali wa mahindi, mboga za majani kama vile msusa, kisamvu, mchicha, n.k. Vyakula asilia kama maboga, viazi vitamu, mihogo mitamu, kunde, maharage ni miongoni mwa vyakula muhimu sana kwa Wazinza KWA HISANI YA WIKIPIDIA
michibo JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 2,315 Reaction score 3,915 Jun 21, 2023 #4 Hao watukanaji umewapania bila sababu.
O oladipo JF-Expert Member Joined Mar 8, 2022 Posts 1,885 Reaction score 3,305 Jun 25, 2023 #5 Pia dada zao wana huruma sana kwenye kugawa papuchi