Kalam mpya
Member
- Mar 30, 2017
- 84
- 76
Nilipokua mdogo kati ya miaka 10na kuendelea niliishi na Tamaduni mbalimbali katika maeneo nnayo ishi.
Tamaduni hizo nilizoea kuziona katika maonesho mbalimbali ikiwemo ktk zifa za kitaifa na shughuli za kijamii. Lakin kama haitoshi makabila yenyewe yalibaki katika tamii zao kufanya tamaduni zao katika shighuri zao.
Lakini pia nilizoea kuona sikukuu za sabasaba na nane pia zilitumika kufanya biashara za mazao yao huku wakiburudika na tamaduni hizo. Kwa maana ya ngoma mbalimbali ngonjera mashairi na michezo ya jadi hii ilikua ni tamaduni iliozoeleka kwa Taifa kama Tanzania kuishi katka mila na desturi hizo.
Leo sherehe hizo hazipo katika sikukuu za nane nane na sababa tena badala yake imeelekezwa ktk zifa za kitaifa na shughuri za viongozi wa kijaamii wenyewe.