Wanajukwaa mko pouwa.
Leo hebu tubadilishane uzoefu.Kama tujuavyo kwamba Dunia ipo pamoja na mazuri yaliyomo ila changamoto zipo pia.
Kuna hii changamoto ya kupata mtoto ,Unakuta mke kaolewa kwenye boma
flani alafu linapokuja swala la kupata mtoto inakuwa changamoto.
Je, inapotokea kwamba mke aliyeolewa hana tatizo ila mumewe (hawezi sababisha) Tamaduni zetu na uzoefu Katika jamii unatoa mwongozo gani ili kumsaidia mke aliyeolewa kwenye boma apate mtoto na mahusiano ya wawili hao walioona yaendelee (ikitokea pamoja na changamoto hiyo wameamua kuendelea kuwa kwenye ndoa