fakhbros
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 384
- 658
Thamani Inamasharti
Watu huonyesha kupendezwa na wewe unapokuwa tajiri, unapokuwa unawavutia katika kitu furani au haupo tena duniani.
Madhara ya Hasira
Maamuzi yanayofanywa kwa hasira hayawezi kubadilishika baada ya matokeo nyakati zako za ghadhabu sio nyakati bora za kuamua chochote.
Walimu sahihi kuhusu Maisha
Majonzi, matatizo ya kifedha, na kutokufanikiwa hutoa masomo ya maana zaidi katika uhai wa mwanadamu,
Kuwa halisia dhidi ya Uwongo
Mara nyingi watu hawakupendi kwa kuwa mtu wa mkweli katika mambo yako lakini wanakuabudu kwa kuwa wewe ni mwongo
Kanuni Bora zaidi
Epuka matarajio na dhana ili kupunguza tamaa.
Furaha ya Kweli
Si kuhusu kuwa na kila kitu unachotamani katika maisha yako bali kuthamini kile ambacho tayari unakimiliki,
Utunzaji Mdogo, Furaha Zaidi
kujali kuhusu mambo madogo madogo kunaweza kusababisha furaha zaidi katika maisha,