Tamarillo, some facts

Tamarillo, some facts

damian marijani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2010
Posts
695
Reaction score
466
120px-Tamarillos(janek2005).jpg
Wanaotokea nyanda za juu kama Kilimanjaro, Upare. Usambaa, Mbeya na Highlands za kusini watakua familiar na hili tunda. Kwa kifupi matunda haya yanafananishwa na nyanya na matumizi yake ni kama nyanya kwa wale wanayoyalima.
Asilia ya matunda haya ni nchi za Peru, Chile, Equador, Columbia na Bolivia. Kwa hivi sasa yanalimwa sana New Zealand ambao wanasafirisha tani 2000 kwa mwaka kupeleka Marekani.
Ningependa kufahamishwa kwa anayeelewa tunda hili kwa kiswahili.
 
Tunayaita Tumanti, nyanya pori.
Zuri na tamu sana likiivia mtini. Ila komba nao wanatuzidi ujanja.
 
Tumante.......lina juice nzuri sana........
 
Back
Top Bottom