Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania ya Tanganyika.. Na Zanzibar ya Unguja
Huenda Islamic Zanzibar.
Kwa uhalisia Zanzibar haiwezi kujenga uhusiano na Tanzania yenye Zanzibar ndani yake, inaweza kujenga uhusiano na Tanganyika isiyo na Zanzibar.Kwenye mambo ambayo sio ya Muungano ,Zanzibar ina maamuzi yake kama nchi na kama Tanzania inavyojenga mahusiano na nchi nyingine pia tunatakiwa tujenge mahusiano na Zanzibar.
Hata kama limefanyika Zanzibar , Rais Samia kaalikwa kama mgeni rasmi tu, hata Dkt.Rutto wa Kenya anaweza kumualika Dkt.Samia kama mgeni rasmi katika shughuli inayofanyika Kenya. Haya ndio mambo ya diplomasia, ujirani na mahusiano
Akirudi kwao ni mwananchi wa nchi ile akienda kwenye nchi anayotawala, anakuwa Rais wa kote ila siyo full. Juu kwa juuTanzania ya Tanganyika.. Na Zanzibar ya Unguja
Unasema Tanzania yenye Zanzibar ndani yake na huku Zanzibar hiyo hiyo ina mambo yake yenyewe ambayo yapo kikatiba, hapo inamaanisha Nini?Kwa uhalisia Zanzibar haiwezi kujenga uhusiano na Tanzania yenye Zanzibar ndani yake, inaweza kujenga uhusiano na Tanganyika isiyo na Zanzibar.
Tatizo ni nchi kuendeshwa kwa kulazimisha mambo.
Mifano uliyoweka haifanani na nilichoandika, ili uwe na Tanzania ni lazima uwe na Tanganyika na Zanzibar, hauwezi kuwa na Tanzania isiyo na Zanzibar, ukiitoa Zanzibar kwenye Tanzania utabaki na Tanganyika na ndiyo sababu nilimalizia kwa kusema tunalazimishana kwa mfano mtanganyika akitaka kwenda Zanzibar lazima atumie pasi ila mzanzibari anapokuja Tanganyika hahitaji kutumia pasi eti yeye yumo nchini mwake!Unasema Tanzania yenye Zanzibar ndani yake na huku Zanzibar hiyo hiyo ina mambo yake yenyewe ambayo yapo kikatiba, hapo inamaanisha Nini?
Achana na hisia twende kwenye ukweli, na tujiulize maswali yafuatayo:
Muundo wa Muungano wetu ni kama ulivyo kati ya Australia na UK, Mfalme Charles ni Mfalme wa Uingereza na Australia lakini Australia ni mamlaka kamili kabis
Natafuta namna ya kukisukuma kisiwa cha zanzibar kiende mbali huko karibia na IndonesiaHii nchi haiishi vituko. Bora kila nchi ijitegemee tu ili kuepukana na huu unafiki.