[emoji1][emoji1]fame with mass.Bila shaka mkuu alimiliki ndege japo sina jina la aina aliyomiliki. Kwa sababu Franco alikuwa tajiri haswa. Katika miaka ya 1980 utajiri wake ulikadiliwa kuzidi dola za marekani milioni 3! Ni hatari mkuu. Jamaa tangu miaka ya 1970 alikuwa anawalipa wanamuziki kupitia benki siyo mambo ya pesa mkononi. Alikuwa na uzito wa karibu 140kg! Alikuwa anakula mbuzi mzima alone
NamkubarNashukuru mkuu wimbo wa candidat aka le maleshale prezidaa wimbo mzuri Sana NABISO NABISO
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ina maana wewe hujui kwamba utakufa?Ajabu ni kwamba baada ya kujua atakufa alitengeneza nyimbo nzuri sana, mfano wimbo Kama Sadou... Au Muongo na Murozi alioimba na Samagwana...
Kuna watu duniani Mungu kawaleta kwa Makusudi kabisa.
Asante kwa ufafanuzi mahiriBila shaka mkuu alimiliki ndege japo sina jina la aina aliyomiliki. Kwa sababu Franco alikuwa tajiri haswa. Katika miaka ya 1980 utajiri wake ulikadiliwa kuzidi dola za marekani milioni 3! Ni hatari mkuu. Jamaa tangu miaka ya 1970 alikuwa anawalipa wanamuziki kupitia benki siyo mambo ya pesa mkononi. Alikuwa na uzito wa karibu 140kg! Alikuwa anakula mbuzi mzima alone
siyo Tab Rey kweliMkuu nasikia aliwahi kuwa wazir wa utamadun enz za mobutu ssesseko Ni kweli?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app