Tamasha la Kimataifa la Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini

Funa the Wild

Senior Member
Joined
Aug 1, 2022
Posts
167
Reaction score
282
Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini

📍 Matema beach, Kyela, Mbeya, Tanzania 🇹🇿

Kusini International Trade Fair & Festival 2024

Ni maonyesho ya kimataifa yaliyoundwa ili kukuza shughuli za biashara na nyingine zinazohusiana na uwekezaji, kilimo na umwagiliaji, afya, utamaduni, utalii, mazingira, uvuvi, ushirikiano na ujirani mwema, uvumbuzi na teknolojia, kubadilishana ujuzi, maendeleo ya viwanda na shughuli za michezo na matumizi endelevu ya Maliasili.

WADAU WAKUU WAKIWEMO

Mashirika ya serikali, wizara, makampuni binafsi, wafanyabiashara , wajasiriamali na wawekezaji wanatarajiwa kuhudhuria tukio hili.

Hafla hii inatarajia kuwaalika wadau hao kutoka ndani na nje ya nchi kwa kuanzia na nchi za SADC .

SHUGHULI ZA MICHEZO
🔹Ligi za Mpira
🔹Mashindano ya mbio za baiskeli kwa Wanawake/Vijana
🔹Mashindano ya Kuogelea
🔹Mashindano ya Mitumbwi
🔹Matema Beach Marathon
🔹Mashindano ya Ngoma za Asili
🔹Mashindano ya Boda Boda
🔹Mashindano ya Magari
🔹Summer Beach Party Night

Tembelea, www.kusinitradefair.com

Mawasiliano
+255655563888
+255753651935
info@kusinitradefair.com


 

Attachments

  • IMG-20240729-WA0161.jpg
    317.2 KB · Views: 5
  • IMG-20240729-WA0149.jpg
    224.3 KB · Views: 5
S
Sawa kikolo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…