King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Aug 25, 2012 #1 Umofia kwenu JF, Nimestuka baada ya kusikia tangazo ITV likisema kutafanyika tamasha kubwa pale mlimani city tar1 mwezi wa tisa,watakuwepo wakinama kama rwakatare,anti sadaka pia na erick shigongo!!! Hapo kwenye bold panastuaaa!!
Umofia kwenu JF, Nimestuka baada ya kusikia tangazo ITV likisema kutafanyika tamasha kubwa pale mlimani city tar1 mwezi wa tisa,watakuwepo wakinama kama rwakatare,anti sadaka pia na erick shigongo!!! Hapo kwenye bold panastuaaa!!