Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
BOOKS FESTIVAL NI NINI ?
Ni Tamasha la namna ya pekee kutokea Tanzania mahali ambapo Waandishi wa vitabu, wasomaji na wabunifu wa kitanzania hukutana pamoja. Kupeana udhoefu ili kujenga nchi yao.
Kutakuwa nini basi ?
Tamasha litabeba dhana ya kuibadili Tanzania kuwa taifa lenye maarifa na watu wake kuwa wabunifu ili kuishi kwa kutimiza ndoto zao.
Wahusika ni akina nani ?
Wahusika ni kila mtanzania mwenye lengo la kujifunza, kwani Mashirika, Kampuni, vijana wabunifu na Waandishi watakuwepo kuonesha bidhaa na mawazo yao.
Litafanyika wapi ?
Litafanyika Maktaba Kuu, Siku ya Jumamosi tarehe 9/06/2018. kuanzia saa 2 mpaka 11.
MUHIMU: KARIBU UKUTANE NA TAASISI KUBWA ZINAZOHUSIANA NA MAARIFA PAMOJA NA ELIMU KUPITIA VITABU, KAMA UNA NDOTO YA KUWA MWANDISHI BORA NA MBUNIFU, USIKOSE TAMASHA HILI
Karibu usikose.
Jisajili kupitia namba: Kwa waandishi, wabunifu na wasomaji 0758 051 641 au 0712 957 528 /E-mail vipawalinkassociation@gmail.com