Topetopeni
Member
- Apr 7, 2024
- 42
- 109
26.04.1964 Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ijumaa 26.04.2024,tutaazimisha miaka 60 ya Muungano huu!
Leo hapa Jijini Dodoma,kuna tamasha lakuombea Taifa letu,pia shamrashara zakuazimisha miaka 60 ya Muungano huu,Mgeni Rasimi ni Makamo wa Rais Dkt Philipo Isdory Mpango!
Jambo ambalo kusema na ukweli,limenikera sana,nikualika viongozi wa Dini za ajabu ajabu,kuja kuliombea Taifa letu! Kuna waombaji kama Mwamposa,Gwajima,Kuhani Mussa na kina Shusho,Bahati Bukuku na Frola Mbasha, wengi wa hao waombaji ni wahuni tu,hawana maadili kabisa!
Mfano Shusho kaachana na Mume wake,Frola Mbasha pia aliachana na mume wake,Bahati Bukuku sina taarifa zake kama aliwahi hata kuolewa, Gwajina kila mtu anajua tabia zake,iliwahi kutoka picha anakula muumini wake,huyo Mwamposa ni muongo tu anadanganya watu kukanyaga mafuta ndiyo kubarikiwa,huyo Kuhani Mussa hata sijui ni kutoka Kanisa gani!
Serikali alikeni watu wa dini wasio na makandokando,kuwaalika hao watu kwa gharama zetu sisi walipa kodi,nikutudharau kwa kiwango cha juu sana!
Mnadhani Taifa ndiyo litabalikiwa kwa kuwaalika watu hao?? Tunapoteza muda wa bure!