Tamasha la simba

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
Kwanza nawapongeza sana Viongozi wa SIMBA kwa kufanikisha Tamasha lao lilofanyika tarehe 8 mwezi wa 8 mwaka huu katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar Es Salaam, ila nimeshangazwa sana na watu walizawadiwa katika tamasha ilo na kuacha waliostaili kwa mfano Kocha Abdallah Kibaden(King), Azim Dewji,Mzee Rashid Mfaume Kawawa, Marehemu Mzee Amir Ali Mbamchawi, Mohamed Mwameja, Mzee Mwilima, na kuwazawadia watu kama Pro. Juma Kapuya, Nyange Kaburu,
 
Mkuu hata mimi naona hapo kuna walakini. Labda tuwape nafasimaana nasikia siyo one-off event next time hopeful watarekebisha,si unajua mwanzo mgumu. it's very unfair kutotambua mchango wa watu kama Kibadeni,Mwameja na wale wazee wetu wa 70's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…