Tamasha la Umeme wa Upepo Duniani

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
4,526
Reaction score
1,540
Pelekeni hii tarifa Tanesco, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati Shelukindo, Watu wa EWURA, ethinkTanzania, SMZ, na wadau wengine wa mambo ya Umeme Tanzania kuhusu hii Sabasaba ya Umeme wa Upepo itakayofanyika Chicago Mwaka huu.

Join us for WINDPOWER 2009 Conference & Exhibition taking place May 4 - 7, 2009 in Chicago, Illinois.

http://www.windpowerexpo.org/
 


kwa nini serekali ya Tanzania isiombe utalamu kutoka israil wa kutengeneza umeme wa kutumia vumbi ambalo halina harama hasa hapa kwetu TZ
 
Kwani Tanzania ina vumbi kiasi kikubwa hadi kufikia kufua umeme?
 
This is sound investment, si madubwana ya kununua mitambo ya Dowans au kuendelea na mkataba wa IPTL!


The East African - Kenya firm plans 300 MW wind farm by 2012
 
More news on wind energy in Africa..


East Africa Forum » French company to erect wind-turbine plant in Ethiopia
 
More on this subject, mtanisamehe this will be my crusade!


allAfrica.com: Gambia: Wind Power in Action, Bato-Kunku Way (Page 1 of 1)
 
Kama hawataweza kupata Visa kuja Maerkani, kuna tamasha jingine linafanyika South Africa Apruil mwaka huu.


http://www.hedon.info/659/events.htm

http://www.greeneconomyinitiative.com/news/193/ARTICLE/1436/2009-02-09.html

Renewable Energy World 2009 - home

Renewable Energy World 2009 - conference
 

Well since you are the most bright person, why don't you come up with your solutions?
 

YNIM,

Unazungumzia mazingira gani? Tanzania au Duniani? Kama ni Tanzania ni wapi kuna publication ya research za hawa "wataalamu" unaowasifia?

Sasa ni kosa kwa mimi kutoa taarifa ya kitu ambacho si wengi wanakijua pamoja na kuwa kinafahamika?

Je ni wataalamu wangapi mabibi na bwana umeme ambao wanajua mambo ya Wind Power extensivelly pale Tanesco? Je ni wangapi kati yao watakuwa Chicago au JoBurg kwenye hii mikutano na kuondoka kutoka kwenye hii mikutano na nyenzo ambazo ni tayari kufanyiwa kazi?
 

I can bet you that with my Ungwini I have more knowledge of wind power more than enough engineers that you defend in TZ!

It is something that is called exposure that counts not the classroom workshop one attended!

Huna jipya ila kelele nyingi. As i said to you come up with a constructive idea!

You carry yourself like the most high of knowledge and what you practice or defend is something that has been in practice since the days of Newton and Boyle.

Hivyo kama mimi ninachoandika hapa ni repeat na kinajulikana, mbona weye upasuaji wako ni repeat ya miaka 300 iliyopita? what makes a difference then if not the application?

Kama una lako unataka kusema kwangu say it, but don't come here and make the issue about Ungwini na Mainjinia!
 

I can careless about the number of any "elite" or average Tanzanians who are outside of the country. We made a choice to live away and I am not goping to use an excuse like yours that Sababu siheshimiwi kwa kuwa mimi injinia au dakitari! What a crapy excuse!
 
.....hivi una akili timamu wewe kusema injinia wa umeme mwenye digrii yake hasielewa hii wind power technology? ...

YNIM, mbona mimi nimemsoma Kishoka vingine, kwamba ame wonder kama pale Tanesco kuna wataalam wa kutosha wanaojua mambo ya wind power extensively.

Hivi kama nchi haitumii hii wind power extensively, if at all, tunaweza kuwa na wataalam hao? Manake kama ni utaalam wa kusoma kwenye vitabu basi tunao hata utalaam wa nuclear physics maana nina hakika department za advanced physics pale Mlimani wanapelasa pelasa utirio wa particle physics. Ni sawa na kujifunza theory za modern physics ya Nelkon na Abbot (lile third edition la kijani la 1947 sijui lile) bila kuitia machoni hiyo Cathode Ray Oscilloscope au Geiger Muller Counter halafu ukadai umei master basic modern physics. Oh yeah, umekariri picha! Sasa usitukane watu wanao jaribu kusema kwamba hatuna utaalam extensive wa mambo ya wind power kwa hoja yako ya kwamba electrical engineer lazima awe mtalaam wa wind power technology. Una sound kama umepaliwa mi chibuku ya kiwanja Colt 45, Miller Genuine Draft, Old Milwaukee...

YNIM,

Je ni wataalamu wangapi mabibi na bwana umeme ambao wanajua mambo ya Wind Power extensivelly pale Tanesco?
 
wataalam tunao na binafsi nilikutana nao pale Tanesco. Kishoka this is a good thread

mwishoni mwa mwaka jana nilikuwa na mazungumzo na jamaa wa Vestas lakini they were not interested in medium sized projects kama ya kuproduce MW 10 wao walikuwa wanataka project ya zaidi ya hiyo amount

That said niko katika final stages za mazungumzo na jamaa wa Suzlon lakini mjomba investment capital ya kuweka hizi wind turbine si ndogo...anyway if anything tuwasiliane kwenye PM kwani its an area ambayo nina so much interest nayo

On a flip side hivi unajua nani aliweka zile wind turbines kule Singida? na ni nani alifund that project?

Hivi unaijua ile project ya wind farm ya bwana MKONO ?
 
Can someone do that wind power electricity in 180 days and solve the problem we are facing?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…