Ni Tamasha ipi inayofana zaidi kuliko zingine kati ya Sebene/ Bolingo na Tamasha la Hip Hop au RnB kwa wanamuziki wanaotoka nje wakisindikizwa na wasanii kutoka nchini? Mi naona za Sebene zinafana zaidi maana ni za live zaidi kuliko hip hop wanapiga play back!