Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 1,710
- 8,690
Hakika, inawezekana, dawa ni ushirikiano na jamiiππΉπΏKazi nzuri sana mh na tupambane kuondoa ukatili kwenye jamii inayotuzunguka
Wanasema umoja ni nguvu DrHakika, inawezekana, dawa ni ushirikiano na jamiiππΉπΏ
Muheshimiwa hizi namba za bure zipo active kweli?Wasalaam
Leo 24 Julai, 2025 asubuhi, nakiri kupokea taarifa kadhaa kutoka kwa Wananchi wa Kata ya Baraa, Mtaa wa Kibao cha Njano kwa Mrefu, Arusha.
Kwamba, mtu mmoja mzima analea binti wa umri kati ya miaka 8 hadi 10 hivi ambapo yaani ni anampa vipigo tu apendavyo yeye hivyo, mtoto amejaa makovu ya vipigo kila sehemu, ananyimwa chakula, anafungiwa mlango alale nje na mateso mengine aina hiyo hadi shuleni, maendeleo yanasua sua.
KILICHOFUATA: nimewasiliana na ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha ambapo, maafisa ustawi wa jamii wameelekea eneo la tukio mara moja.
UJUMBE GANI KWA JAMII: tuache kutesa watoto, jicho la ustawi wa jamii linatamba alipo mwanajamii yeyote kwa ushirikiano na wananchi wenye mapenzi mema.
Hima, tuendelee kutamba na jicho la ustawi wa jamii ππΉ kuwadaka watu katili wa watoto popote/kokote πΉπΏβοΈ
Pia, kumbuka kupiga 116 kituo cha taarifa za watoto. Vilevile, kuna namba za maafisa binafsi na za vituo vya huduma kwa wananchi hapa chiniπzikumbuke, mpe na mwingine.....
Wengine tunatafuta hizi nafasi za kukaa na watoto, wengine wanazipata halafu wanazichezea. Hongera sana mheshimiwa kwa hatua za haraka ulizochukua, naamini utatupa mrejesho wa kilichobainika eneo la tukio.Kwamba, mtu mmoja mzima analea binti wa umri kati ya miaka 8 hadi 10 hivi ambapo yaani ni anampa vipigo tu apendavyo yeye hivyo, mtoto amejaa makovu ya vipigo kila sehemu, ananyimwa chakula, anafungiwa mlango alale nje na mateso mengine aina hiyo hadi shuleni, maendeleo yanasua sua.
Mheshimiwa vipi ikitokea mwanamke akanitegeshea kwa makusudi nikampa ujauzito na nikawa na ushahidi kamili wa yeye kunitegeshea naweza kumshitaki?
Mtoto tayari yuko mikono salama, usiwe na shaka, sisi wazoefu wa hizi heka heka.Sasa mhe. waziri mbona unatoa taarifa za huyo binti wa miaka 8 kabla ya mtuhumiwa kukamatwa. Je akiwa ni mwana JF akabahatika kuiona hii taarifa hapa, na kuamu kutoroka, hapo utakuwa umetengeneza au umeharibu?
MtapataWengine tunatafuta hizi nafasi za kukaa na watoto, wengine wanazipata halafu wanazichezea. Hongera sana mheshimiwa kwa hatua za haraka ulizochukua, naamini utatupa mrejesho wa kilichobainika eneo la tukio.
Huu utakuwa ni utani, haiwezekani nienyeke ili familia ipate kula halafu muenyekaji nisile, unless awe anatafuta mwenyeweMama jana mke wangu kaninyima chakula.
Je nipige simu huku ustawi au wanaume haturubusiwi kustawi na jamii
OK mh. waziri.. Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri unayofanya.Mtoto tayari yuko mikono salama