John Wicks Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,945
- 17,286
Wasalaam
Leo 24 Julai, 2025 asubuhi, nakiri kupokea taarifa kadhaa kutoka kwa Wananchi wa Kata ya Baraa, Mtaa wa Kibao cha Njano kwa Mrefu, Arusha.
Kwamba, mtu mmoja mzima analea binti wa umri kati ya miaka 8 hadi 10 hivi ambapo yaani ni anampa vipigo tu apendavyo yeye hivyo, mtoto amejaa makovu ya vipigo kila sehemu, ananyimwa chakula, anafungiwa mlango alale nje na mateso mengine aina hiyo hadi shuleni, maendeleo yanasua sua.
KILICHOFUATA: nimewasiliana na ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha ambapo, maafisa ustawi wa jamii wameelekea eneo la tukio mara moja.
UJUMBE GANI KWA JAMII: tuache kutesa watoto, jicho la ustawi wa jamii linatamba alipo mwanajamii yeyote kwa ushirikiano na wananchi wenye mapenzi mema.
Hima, tuendelee kutamba na jicho la ustawi wa jamii ๐๐น kuwadaka watu katili wa watoto popote/kokote ๐น๐ฟโ๏ธ
Pia, kumbuka kupiga 116 kituo cha taarifa za watoto. Vilevile, kuna namba za maafisa binafsi na za vituo vya huduma kwa wananchi hapa chini๐zikumbuke, mpe na mwingine.....
Dawa ni kula kwa mama ntilie na chakula kingine unakipeleka nyumbani kwa ajili ya watoto. Mke akigusa anachezea kwenzi tu mpaka atapojirekebisha.Huu utakuwa ni utani, haiwezekani nienyeke ili familia ipate kula halafu muenyekaji nisile, unless awe anatafuta mwenyewe
haswaaaUmwambie na mawaziri wenzio waje jf watueleze nini wanafanya kwenye jamii.
Daaaah!!๐๐๐Mheshimiwa vipi ikitokea mwanamke akanitegeshea kwa makusudi nikampa ujauzito na nikawa na ushahidi kamili wa yeye kunitegeshea naweza kumshitaki?
what is it ?No reform no election
No reform no election
Mwanaume hakuna kulalamika mpaka ufeMama jana mke wangu kaninyima chakula.
Je nipige simu huku ustawi au wanaume haturubusiwi kustawi na jamii
Tatizo la serikali hii ukimsifu sana waziri, basi mwisho wa siku huondolewa au kuhamishiwa kungine.Upewe Wizara zote uongoze. Hawa wengine kazi kusifu na kulamba viatu.
Msosi atakula ila hapo sitakula chakula kwangu tena, hapo ni lazima nitafute mwanamke mwingine wa kumsaidia kunipikia, yeye abaki kuwa mfanyakazi wa watoto wetu, sishiriki chochote naeDawa ni kula kwa mama ntilie na chakula kingine unakipeleka nyumbani kwa ajili ya watoto. Mke akigusa anachezea kwenzi tu mpaka atapojirekebisha.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMsosi atakula ila hapo sitakula chakula kwangu tena, hapo ni lazima nitafute mwanamke mwingine wa kumsaidia kunipikia, yeye abaki kuwa mfanyakazi wa watoto wetu, sishiriki chochote nae
Nani alikituma?nikampa ujauzito
Hapo tafsir ni kwamba Waziri yupo makini anafuatilia shida za watuKazi nzuri, ilitakiwa ustawi wa jamii wa Mkoa wapewe taarifa Kwanza.
Au hata wilayani.
kama hawakupewa, ukapewa wewe Waziri, Maana yake kuna Tatizo.
Hii unatia moyo sana Mh waziri maana ni jukumu letu kulea na kulinda ustawi wa watoto.Wasalaam
Leo 24 Julai, 2025 asubuhi, nakiri kupokea taarifa kadhaa kutoka kwa Wananchi wa Kata ya Baraa, Mtaa wa Kibao cha Njano kwa Mrefu, Arusha.
Kwamba, mtu mmoja mzima analea binti wa umri kati ya miaka 8 hadi 10 hivi ambapo yaani ni anampa vipigo tu apendavyo yeye hivyo, mtoto amejaa makovu ya vipigo kila sehemu, ananyimwa chakula, anafungiwa mlango alale nje na mateso mengine aina hiyo hadi shuleni, maendeleo yanasua sua.
KILICHOFUATA: niliwasiliana na ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha ambapo, maafisa ustawi wa jamii mara moja walielekea eneo la tukio na kumfikia mtoto. Hii ni kuonesha kuwa, ustawi wa jamii wako speed... wewe tu toa ushirikiano.
Watuhumiwa wataijibu sheria ya mtoto na vifungu vyake.
UJUMBE GANI KWA JAMII: tuache kutesa watoto, jicho la ustawi wa jamii linatamba alipo mwanajamii yeyote kwa ushirikiano na wananchi wenye mapenzi mema.
Hima, tuendelee kutamba na jicho la ustawi wa jamii ๐๐น kuwadaka watu katili wa watoto popote/kokote ๐น๐ฟโ๏ธ
Pia, kumbuka kupiga 116 kituo cha taarifa za watoto. Vilevile, kuna namba za maafisa binafsi na za vituo vya huduma kwa wananchi hapa chini๐zikumbuke, mpe na mwingine.....
Sifi ila atakuja mwenyewe ustawiMwanaume hakuna kulalamika mpaka ufe
Utalalamikaje baada ya kifo?Mwanaume hakuna kulalamika mpaka ufe
Kama huko chini hawapo serious,je ni nani anafaa kulaumiwa? Ni nani kiongozi wa hao waliopo chini?Hapo tafsir ni kwamba Waziri yupo makini anafuatilia shida za watu
Huku chini hawapo serious,hii ni shida kubwa,siku zote huwa tunawapa ushirikiano wanao tupa ushirikiano