Tamba na Jicho ๐Ÿ‘ la Ustawi wa Jamii Mtaa kwa Mtaa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Uwaziri wangu unapoelekea kukoma, huenda sasa ndiyo mwanzo wa mwingine ajaye hivyo, ngoja nimalizie niliyoyapanga halafu, ajaye sasa utaanza naye haya maoni yako๐Ÿค—, okay?

Asalaam Aleikum, Tumsifu Yesu Kristu....
 
Kazi nzuri, ilitakiwa ustawi wa jamii wa Mkoa wapewe taarifa Kwanza.

Au hata wilayani.

kama hawakupewa, ukapewa wewe Waziri, Maana yake kuna Tatizo.
Hakuna hata tatizo, wakati mwingine wananchi wanataka tu kukusikia kisa uko online. Hao maafisa ustawi wa jamii wanachapa kazi mno, shuhudia matokeo haya kisha waunge mkono๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • IMG-20250610-WA0013(12).jpg
    274.1 KB · Views: 23
Ni kweli taarifa haijajitosheleza kwani, mengine nimweka kwenye bracket hadi baadae. Lengo la haraka haraka hii, ni kuwapa moyo jamii kuwa, wakiita ustawi wa jamii, wataitikiwa daima, kuzuia na kuokoa watoto dhidi ya ukatili ni kipaumbele....
 
Kama huko chini hawapo serious,je ni nani anafaa kulaumiwa? Ni nani kiongozi wa hao waliopo chini?

Huoni kua hao waliopo chini,wapo chini ya waziri? Je ni jukumu la nani kuwarekebisha hao waliopo chini au kuwachukulia hatua?

Maafisa Ustawi wa Jamii wapo, na wanafanya kazi kubwa sana kuliko hii ninayofanya. Ninachofanya ambacho wengine HAMKIONI, nikuonesha njia na mfano wa kuongoza kwa vitendo na kwa ari ya kujitoa. Wako watu kupitia mfano wangu wanaamka na kuongeza kasi.

Ona matokeo ya kazi yao kwa ufupi kabisa ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • IMG-20250610-WA0013(12).jpg
    274.1 KB · Views: 19
Mheshimiwa mshauri mama apumzike(aache kugombea)ili watanzania wazidi kumpenda zaidi na zaidi.Utafiti unaonesha kuwa watanzania wengi hawajapenda mama kujiteua peke yake pasipo kushindanishwa na wengine.
 
Muheshimiwa,mimi nilimjibu huyo aliyesema kua maafisa wa ngazi za chini hawafanyi kazi ipasavyo,

Big up kwa kazi nzuri,hii ni wizara ni muhimu sana katika kua na taifa bora coz taifa bora huanzia kwenye ngazi ya familia kwenye malezi.
 
Mh. Dorothy Gwajima wewe ulistahili kuwa Rais wetu kuliko huyu Mama aliyeko.
Napishana na maoni yako ndugu. Rais tuliyenaye ni anatosha kabisa na kazi zake zinajieleza. Pia, kama mimi nafanya kazi zinazowabariki, ikumbukwe ni yeye ndiye ameendelea kuniamini katika nafasi ya kutumika kama waziri hata pale ambapo, hata humu wengi kwa jicho lao walisema maoni yao mazuri kabisa kuwa, hafai huyu bure kabisa. Au mmesahau kwani? Hivyo, nami maoni yangu ni kuwa, tunaye Rais anayeona kwa jicho la ziada pengine, tofauti na mimi na wewe. Tumpe ushirikiano, OktobaTukaโœ…๏ธโœ…๏ธโœ…๏ธ ili tuendelee na kazi na utu tusonge mbeleโœ๏ธ.
 
Hapo tafsir ni kwamba Waziri yupo makini anafuatilia shida za watu

Huku chini hawapo serious,hii ni shida kubwa,siku zote huwa tunawapa ushirikiano wanao tupa ushirikiano
Ndio tafsiri niliyonayo.

Zaidi maana yake kuna mamia wanafanyiwa vitendo vya kikatili ila hawaoni sehemu ya kureport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ