Tambara: The wild robot(2024)

Tambara: The wild robot(2024)

Deejay eXii

Member
Joined
Feb 22, 2025
Posts
33
Reaction score
37
FB_IMG_1740332397765.jpg

▪️Kura 8.3 IMDb
▪️Kuachiliwa: 2024
▪️Maudhui: Family/Adventure
_________________________

Baada ya Roz kudondoka duniani na kujikuta katikati ya maskani ya viumbe tofauti na vile alivyovizoea, ikawa ni moja ya jukumu lake kujifunza kwa haraka juu ya mazingira na lugha ya wanyama na ndege ndani ya msitu. Hata wanyama nao wanajaribu kuwa na tahadhari na kiumbe hiki(Roz).

Hata hivyo Roz anafanya jitihada nyingi kujaribu kurudi alikotoka jambo linalokuwa gumu. Anayazoea mazingira na kuanza kuwazoea wenyeji wake na kila wakati anajaribu kutuma ishara kwa wenzake ili apate kurudi alikotoka.

Baada ya majaribio kadhaa yaliyoshindikana, wakati huu Roz alifanikiwa ila anagundua msaada aliouhitaji una viashiria vya athari kwa maskani ya wanyama na viumbe wengine. Roz anaungana na wenyeji wake kukomesha vitisho.

Ndani humu tunampata bi mdada, shemeji yetu kabisa Lupita Nyong'o tokea 254 akicheza kama ROZ(Robot)

#Enjoy2025
#wikendVibe2025
 
Back
Top Bottom