Tambaza Mnatuangusha.

Kizoku

Senior Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
186
Reaction score
66
Nakumbuka Tambaza ni moja ya shule zilizokuwa zikiongoza kwa kufanya vizuri sana kwenye mitihani ya Necta. Lakini hili la kusikia Tambaza ikiwa ni miongoni mwa shule kuni zilizoshika mkia imenisononesha na kunihuzunisha sana. Iko wapi ile SAMBOKIRE Tambaza. Wanafunzi wa Tambaza kazeni kamba kusoma. Mnatufanya tuone aibu kujisifia kuwa na sisi tulisoma Tambaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…