Tambiko la singida njongeeni

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,342
Huu ni mpambano wa kidiplomasia
Kucheka inaruhusiwa, kutania shuruti uwe na qualifications.

Kétiila mukúmbo na Tundu Lêsů ni mtu na mtani wake. Ni watani ndugu hawa.

Hapo zamani za kale Wanyiramba (kétiila mukúmbo) walikuwa na sifa njema na za kupigiwa mfano dhidi ya watani zao wanyaturu (Tundu Lêsů).

Kwa miongo kadhaa sasa wanyiramba wameporomoka kutoka kwenye sifa zao njema za uaminifu, utetezi wa wanyonge, wakombozi wa mateka na kuwa watu wanaoaminika kwa mashaka mashaka.

Tunao mifano ya watu wa jamii hizi mbili wanaotumikia jamii kwa nafasi tofauti tofauti natuwahukumu kwa matendo yao ili tu-prove pamoja nilichokiandika.
Wanyiramba:-
Lameeki Madelu
Kétiila mukúmbo
Mohammed Mpíínga
.
.
.
.
Wanyaturu hawa hapa:-
Lazaro Nyalandu
Tundu Lêsů
Ernest Mängů
.
.
.
.

Ni Mohamed Mpíínga pekee kati ya wanyiramba niliowataja wanyiramba wanaweza kujivunia uadilifu na utenda kazi wake kwa jamii ya watanzania, the rest..........

Kwa wanyaturu labda Nyalandu pekee ndiye alitia doa kiasi fulani.

Upande unaoelemewa na tuhuma unanihusu.

Je uprofesa una madhara kwa jamii?
 
Sahihisho la heading " jongeeni"
 
Kwa maana hiyo amani ya nchi hii iko mikononi mwa watu wa Singida: ERNEST MANGU, MWIGULU NCHEMBA, TUNDU LISU na KITILA MKUMBO!
 
Kwa maana hiyo amani ya nchi hii iko mikononi mwa watu wa Singida: ERNEST MANGU, MWIGULU NCHEMBA, TUNDU LISU na KITILA MKUMBO!
Unaweza kusema hivyo na ukasalia kuwa mkweli. Pia ukisema hivyo unaweza kuwa umefanya makosa makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…