Tambua hili kabla ya kuwa mjasiriamali

echuma

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2010
Posts
311
Reaction score
80
Karibu Legacy Impresion Company upate huduma ya Branding kwa bei
Nafuu msimu huu wa sabasaba kwa punguzo la bei
-
Branding ni elimu itolewayo kwa mtu, kampuni au taasisi kwa ajili ya
Kutengeneza,kutambua na kuongeza mauzo ya sehemu husika.Kupanda
Au kushuka kwa mauzo sio sababu ya masoko ni Branding ndiyo
-inayosababisha karibu upate elimu ambayo itakuonyesha na kukuongeza
Kwenye biashara yako.
-
Branding inasimamiwa na nguzo kuu nne ambazo zinatakiwa zitumike
Sambamba ndio mafanikio huonekana kama unavyofikiria na nguzo hizo
Ni Alama, Bidhaa, Mtu na Mfumo.Legacy imejikita- zaidi kwenye alama
Ambayo ni nguzo ya kwanza na muhimu inayobeba zote.
-
Kampuni imetoa pia alama hizo katika vifurushi kutegemea uwezo wa
Mtumiaji- kwa wakati husika,kifurushi cha kwanza kinaitwa "Basic" hiki
Ni kwa ajili ya ofisi kwa maana ya vifaa na kifurushi kingine ni "Promotion"
Hiki ni kwa ajili ya kufanyia promosheni na kutafutia masoko na kifurushi
Cha mwisho ni "Premium" hiki ni kifurushi ambacho kinajumuisha vyote
Viwili hapo juu kikiwa na nyongeza ya kufanyiwa utafiti wa soko la
Bidhaa yako na kupewa mbinu chanya.
-
Kutokana na kutambua umuhimu wa wateja kutambua elimu hii ndio
Maana kampuni pia imetoa punguzo kwa kipindi hiki, tunashauri ni bora
uipate elimu hii-Sasa itakusaidia kutambua unatakiwa ufaye nini ili
biashara yako ikue na -pia iwe kama unavyofikiria.
-
Karibu sasa bei zetu ni nafuu kabisa ukilinganisha na huduma tunayotoa
-
Pia kutokana na kutambua uepo wa wateja kutoka nje ya nchi na mkoa
Hivyo pia tunafanya kazi online,ili kupata huduma hii tafadhali tumia
Mawasiliano hapo chini.
-
Kwa mawasiliano na maelekezo tafadhali tumia njia zifuatazo
Simu: 0713 603 699/0767 603 699
Email: info@legacytz.com
Web: www. Legacytz.com
Blog: legacycompany@blogspot.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…