Tambua jinsi wapenzi wawili wanavyopiga punyeto kila wanapofanya mapenzi na madhara ya punyeto

Nkingwamh

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2018
Posts
290
Reaction score
210
Wapendwa kama kichwa kinavyosema hapo.Kumekua na kauli nyingi juu ya kitendo cha kupiga punyeto na kubaki wakishutumiwa wanaume pekee.Kwanza ningependa tutambue punyeto ni nini.

Punyeto ni kitendo ambacho hufanywa na mtu yoyote yule awe m/mme au m/mke,kwa lengo la kujitafutia ashiki binafsi kwa kuchochea viungo vya uzazi.kwa kawaida kitendo hiki hadi kikamilike kinaitaji muunganiko wa vitu vitatu

1. Kiungo cha uzazi iwe cha M/mme au M/mke

2. Mkono au kitu cha kuweza kubana, mbano ambao wa kuweza kuendana au kukadiria kiungo cha uzazi ili kuleta ladha ya kukutana kimwili.

Tatu kuleta hisia za kujamiana. Kitendo hiki cha kupiga punyeto kimegawanyika katika makundi manne1 kundi la kwanza hufanywa na wote wawili wakiwa pamoja katika kukutana kimwili 2 Kundi la pili hufanywa na mtu mmoja mmoja mwanamme au mwanamke.

3. Kundi la tatu hufanywa na mwanaume akiwa na mpenzi wake

4. Kundi la nne hufanywa na wote wawili lakini muathirika ni mwanaume.Sasa tukianza na la kwanza kitendo hiki hufanywa katika maandalizi utakuta mwanaume anaingiza uume kwenye mdomo wa chakula wa mwanamke na anaanza kusugua ndaninje ndaninje huku mwanamke akiubana mdomo hali ya kua na yeye vidole vyake akijisugua kwenye ulimi wa uke (kisimi) huku akigangamiza kupelekea chini kwenye G sport hizo sehemu mbili ndugu zangu zina mishipa mingi sana midogomidogo ambazo ndizo hupokea maumbile ya uume unapoingia ukeni na pale pale hupeleka tafsiri kwa ubongo kua sasa kinachoingia ni uume pamoja na saizi ya uume wenyewe.

Na ubongo baada ya kupata taarifa hiyo hutoa taarifa kwa gland ambayo kazi yake nikutoa homon ambayo itakuja kumsisimu mwili huyo mwanamke lakini kabla ya kufanya hivyo homon hiyo hupitia kwenye sinusnude,homon hiyo ikifika hapo, sinusnude kutengeneza mapigo ya kwenye moyo tofauti na Yale ya mwanzoni ambayo yatakua na msukumo mkubwa ili kufanya damu ifike kwenye mishipa ya uke kwa wingi na ndio utakuta hapo ulimi wa uke (kisimi)unavimba kidogo na hapo mwanamke huanza kuhisi raha ya kujamiana kwa hiyo mwanamke tambua kitendo hiki cha kujisugua ni kupiga punyeto au kusagana kati ya kidole chako na ulimi wa uke na hapo kuna madhara ya kuvuruga zile mishipa midogo nilizozitaja na kuzifanya kua myembamba hivyo kushindwa kupitisha damu ipasavyo hivyo kupelekea mwanamke kushindwa kufika kileleni na kutosikia raha wakati wa kujamiana. Kwani mishipa ambayo inatakiwa ipeleke taarifa kwa ubongo kua uume unaingia zinakua zimekufa.

Hapo mwanamke unapomwingilia hahisi raha hatakidogo.Yeye huona kama ameingiziwa likitu fulani ambalo ni gumu kwa hiyo badala ya kusikia raha yeye atasikia maumivu na kero. Na hapo mwanamke huanza kuhamisha mawazo kwako na kupeleka kwa mtu mwingine matokeo yake ni kuleta maradhi. Sasa tuone madhara ya kiafya mengine yanayofuata kwa mwanamke.

Ni kwamba kuna madhara ya kiafya kwakua hatoweza kusikia raha hivyo itampelekea kutokufika kileleni, hali hiyo itamsababishia matatizo kama kiuno kukaza kuvurugika kwa mzunguruko wa hedhi (menstrual cycle) kuongezeka maumivu ya tumbo wakati wa hedhi,hasira za haraka na pengine kuharibu mfumo wa uzazi.Mwanaume nae kitendo cha kusugua mdomo wa mwanamke huko nako ni kupiga punyeto madhara yanayotokana hapo ni kuharibu mishipa ya uume kwa kufanya mishipa zinazouzunguuka uume ambazo ndizo zinafanya uume uwe strong wakati wa kujamiana iwe miembamba hivyo kufanya damu ishindwe kufika na kujaa katika mishipa hiyo vizuri, kitendo cha kutokujaa damu katika mishipa hiyo husababisha uume kulegea na kutosimama sawasawa.

Na kile kitendo cha kusugua kwanza mdomo ndio unakuja kuingiza ukeni kitendo hicho kinakufanya uwe unafika kileleni ndani ya dakika 2au3 kwani unapotoa mdomoni kuja kuleta ukeni mishipa ya uume inakua imeshachoka kwa kupigishwa punyeto ya mdomo na ndio maana wanaume wengi leo hii wanakabiliwa na tatizo la nguvu za kiume pasipokujua limetokana na nini. Punyeto ya mmoja mmoja hiki ni kitendo anachofanya mwanaume akiwa peke yake kwa lengo la kujiletea raha yeye mwenyewe binafsi kwa kujichua ama kukandamiza mishipa ya uume hadi kupelekea kumaliza haja ya kujamiana. madhara yatokanayo hapo nimeshaeleza hapo juu.

Pia kitendo hicho hufanywa na wanawake kwa kujisugua kisimi hadi kufikia kumaliza haja ya kujamiana lakini pia wanawake huweza kufanya kitendo hicho kwa kua wawili kwa kugusanisha ndimi za uke (visimi)kwa kukaa mikao ambayo itawawezesha kufanya hivyo kisha kuanza kusuguana hadi kila mmoja atamaliza haja ya kujamiana. hapo Mara nyingi hua ataechelewa kufika kileleni hua shauriyake na huchukuliwa kua ndio mwanaume. Namadhara nimeshaeleza hapo juu pia.Lakini pia mbali na hizo kuna punyeto nyingine ambayo ni kumuingilia mwanamke sehemu ya haja kubwa. Ikumbukwe lile ni tundu dogo sana ambalo uume unaingia kwa kuiumiza mishipa ya uume na baada yake kuanza kusuguahumo hadi kumaliza haja hali yakua na mwanamke akijipikicha kisimi.

Kwa mwanaume hapo madhara anayopata ni ya namna mbili lakwanza nilile nililotaja hapo juu lakini lapili ni maambukizi hatari kuanzia kwenye urine track hadi sehemu za ndani za uzazi za mwanaume.la mwisho hili 4 Muathirika ni mwanamume Tambua kama mkewako au mpenzi wako uke wake ni mkavu na uume unapita kwa kubana basi jua kila siku unapokutana nae yeye ndie hufanya tendo halisi lakini wewe mwanaume unapiga punyetotu na matokeo ni madhara niliotaja huko juu.wewe utaona mwanamke huyo ni mzuri na unapokutana nae unakua enjoyerble kumbe nguvu za kiume masiku ama miezi kadhaa baadae zitakua hamna.

Na hiyo nikutokana na kuiumiza mishipa ya uume kila mnapo kutana kwa sababu ya mbano wa uke Nanyie kina Dada mnaopenda kutumia vitu mbalimbali ili maua yenu ya coper yawe tyter kwa uume, angalieni baadae mtawakimbia wapenzi wenu.

Wapendwa nimalize kwa kutoa shukurani kwa wote mliopitia bandiko hili lakini mkumbuke pia hua nikijibu maswali yenu ya papo kwa papo kwa hiyo nakaribisha maswali.
 
Du kiasi fulan yana ukweli japokuwa umetoa bila scientific evidence and references
Ila asante kuna kitu cha kujifunza kwa mtu muelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…