Tambua kwa mwanamke hasomeshwi

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Sasa wewe jifanye unampenda sana ukaanza kumsomesha,kabla hujachukua maamuzi tambua kwamba mwanamke hasomeshwi

Hawana wema hawa viumbe,unaweza kumsomesha mpaka masters halafu ukaambulia kupewa kadi ya harusi

Mpende mwanamke wako ila mwambie jukumu la kusoma ni la wazazi wake na yeye mwenyewe,mwambie ukweli tu kuwa hutahusika kwa namna yoyote ile..

Nimetoa onyo hivyo sitegemei miaka mitatu badae huko zikaja threads humu za kuomba ushauri baada ya kuachwa na waliowasomesha.Kwa wale mlianza malizieni tu kuwasomesha ili muwe case studies humu JF

Deadbody
 
Joseverest yupo jukwaa la mapishi huko
 
Ni vema wabadilike vinginevyo msemo huu ukikomaa kwenye vichwa vya wanaume hisani hii itasahaulika milele
 
Na unaanzaje kuoa mwanafunzi?asome kwanza tutaoana baadaye.ebo!

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…