Tambua majiji bora barani Africa

Tambua majiji bora barani Africa

Kama kawa kama Dawa Dar haiwezi iona Mombasa.
 
safi sana mazeeeee!!!! dar hoiiii, waswahili wazidi kupakana mijasho tuuu...
 
Kigali haiwezi kuwa juu zaidi ya Nairobi na Dar. Ni uongo mtupu
 
Kama kawaida. Wazungu wanawalisha watakayo nanyi mnapiga makofi.
"
Hatujui Nyerere alisaini makubaliano gani alipopewa Uhuru huko Uingereza, hivyo inawezekana kabisa kwamba sisi kama nchi siyo ,,sovereign” na kuna kila sababu ya mimi kuamini hivyo, mfano hili la kuwabembeleza Wazungu wahamie Dodoma, I mean kama hii ni nchi yetu ambayo sisi ndo waamuzi kwa nini tuwaulize na kuwanyenyekea wahamie Dodoma?

Tuseme USA na EU wakigoma kuhamia Dodoma, Je wazo la Mji mkuu kwenda Dodoma ndo litakuwa limekufa? Na kama ni hivyo mwenye nchi sasa ni nani, ni sisi au Muzungu? " Barbarosa
 
Back
Top Bottom