Tambua siri ya kupatwa na ugonjwa wa kisukari

ni mpenzi wa hivi vitu
asali
ndizi mbivu
embe
navitumia kwa wingi japo sio kwa mara moja/kwa mkupuo

je ninahatari ya kukumbwa na kisukari?
 
Sukari ya moja kwa moja ni ipi hiyo?
 
ni mpenzi wa hivi vitu
asali
ndizi mbivu
embe
navitumia kwa wingi japo sio kwa mara moja/kwa mkupuo

je ninahatari ya kukumbwa na kisukari?
Kapime blood sugar ww.Bia ndiyo balaa kwa kuongeza sugar
 
vipi kuhusu sukari ya matunda na asali? Zinamadhara? ningependa kujua dalili za kisukari. Yani mtu mwenye kisukari huwa anaumwa wapi haswa?
 
So tiba yake ni ipi
Mkuu Tiba ya kisukari Mpaka sasa hakuna, ila tujenge desturi ya kua tunapima damu sukari zetu Mara kwa Mara ili kama utakuta kuna dalili ya tishio, Fanya mazoezi uone kama itapungua,na ikatokea umefanya mazoezi na haipungui.basi tayari ushakua mgonjwa wa tatizo hilo, hapo sasa inabidi kufuata matibabu na utaratibu wa kubadili mfumo wa vyakula.
 
Duuh!! Ahsante mkuu ila uandishi daa kwa sisi wenye matatizo ya macho ni tatizo
Ndugu kwanza nikutake radhi kwa uandishi,ambao kwa namna moja ama nyingine imekua ni kero kwa usomaji.Lakini ndugu zangu niwaambie unajua unapokua unaandika habari ya kuelimisha jambo Fulani,tena jambo lenyewe ni tatizo.inabidi kufafanua jinsi na namna tatizo linavyotokea, katika kufafanua hapo kwa undani ndipo unajikuta unatumia maandishi mengi kupita kiasi na panapo maandishi mengi lazima kunakutokea hata kushindwa kuufuata utaratibu wa uandishi.na shukuru hata wewe umejaribu kunieleza kwa kutumia busara lakini kuna waliotangulia wameshanipatia kauli ambazo sio nzuri.ila kwakua nililenga wenye uelewa wanufaike. Na ndio maana naendelea.
 
Mungu tu ndo anajua, maana mixer ninayokula ingekuwa hivyo leo ningekuwa marehemu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Oooh usijali mkuu... Usijali si unajua hatufanani
 
Hapo kwenye monosakaraidi na daisakaraidi rudi shule kidogo.
Asante mkuu nitarudi. Ila kabla ya kurudi shule nikuelezetu kwamba Mara nyingi unapoandika habari yoyote ile kwa uwazi inabidi utumie mfumo wa wikipedia uzingatie wasomaji unaowalenga kuwafikia,ikiwa ninalenga wasomi basi sidhani hata kama nitakua na haja ya kuandika kwa kutumia lugha hii.na ni kuambietu Lugha ya kiswahili ni ngumu katika uandishi, hasa pale inapokubidi ubadiri neno Fulani la kigeni(kiingereza)kua kiswahili ndio hapo linakuja swala la kuambiwa umesomea chuo gani lakini kwakua wenyenia ya kuelewa nitakua tayari nimewafikia sinto jali, ila nakushukuru kesho nitakwenda kuchukua form pale shuleni nianze darasa la kwanza kwa ajili ya kukufurahisha wewe
shukran aisee
 
Nkingwamh vipi ukila chapati kwa supu ya ngombe au kuku? napo kuna tatizo au ?
Wanga + Protini.Mwili unakubali na unavipokea.Ndugu chapati ni ngano na ngano ni wanga ingawa pia katika ngano kuna kiini cha protini, na pia hiyo supu ni protini, hivyo basi vyote hivyo ni bidhaa zinazotakiwa kwa mwili.hivyo tumiatu kumbuka usiambatanishe na sukari(chai)
 
vipi ukila andazi/chapati kwa mboga za majani /maharage?kisha ukashushia na maziwa fresh
Andazi kula Massa mawili ama matatu ili sukari ilioko kwenye maandazi ivunjwe baada ya hapo kula chapati zako na mboga za majani na maziwa yako ila usiyawekee sukari.
 
ni mpenzi wa hivi vitu
asali
ndizi mbivu
embe
navitumia kwa wingi japo sio kwa mara moja/kwa mkupuo

je ninahatari ya kukumbwa na kisukari?
 
Kwa kweli mkuu, macho hadi yanatoa machozi hiyo mibanano
Pole sana mkuu nakuomba radhi kwa hilo. kwani maandishi yenyewe ni mengi kiasi ambacho hata Mimi nimetumia mda mkubwa ilitu nijaribu kuelimisha jamii juu ya tatizo hili, kwani nimesoma post nyingi za wataalamu wenye moyo wa kuelimisha, nikagundua kuna vitu vinasahaulika.
 
Jitahidi kuweka paragraph mkuu kwenye maneno mengi kama hivo
 
ni mpenzi wa hivi vitu
asali
ndizi mbivu
embe
navitumia kwa wingi japo sio kwa mara moja/kwa mkupuo

je ninahatari ya kukumbwa na kisukari?
Hapana mkuu vitu hivyo vyote ni salama kwa afya yako kwani sukari yake ni aina ya fruktosi ambayo viwango vyake ni C6 H12 O6 ambazo zinakwenda kufanya kazi moja kwa moja maratu unapokula, pasipo kuusumbua mwili kuipunguza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…