Tambua siri ya kupatwa na ugonjwa wa kisukari

NINACHOSHUKURU NI KWAMBA TUTAENDELEA KUWA NAE MLETA MADA, MAANA UWEZO WA KUPANGUA " MAKOMBORA" ANAO! ZIDI KUTOA SOMO YAPO MENGI YA MSINGI.
 
Wewe uliyeenda shule mbona hujawai kuleta hata somo la kuugua mafua, unaonekana una tabia na wivu wa kike kike
Nimuonee wivu kwa lipi hasa?
Kuna nyuzi nyingi humu zenye elimu sahihi ya kisukari. Bora ukajifunza huko.
 
Hii makala sio Rafik
Not user friendly at all......
Ila hongera kwa nia dhabit
 
waganga wengi wa kienyeji unakuta wanajua dawa ya kutibu ugonjwa lakini wakikupa maelezo utabaki hoi!
Naam maana anachojua ni dawa ya kukutibia na namna dawa yake anavyotengeneza, hivyo hivyo kwa hao wasomi anajua kujuelezea tuu lakini dawa hajuiu, nasema hajui kwamaana kuitengeneza
 

ASANTE SANA MKUU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…