Elections 2010 Tambwe Hizza sasa ni msemaji wa serikali?

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Posts
5,404
Reaction score
239
Leo nimemwona usiku huu Tambwe Hizza katika taarifa ya habari Channel 10 akikanusha statement ya Dr Slaa kwamba kuna njama zinazosukwa na taasisi za dola kukihujumu Chadema katika uchaguzi ili kukinyima ushindi.

Huyu Tambwe Hizza tangu lini kawa msemaji wa serikali? Tuhuma za Dr Slaa zilielekezwa kwa serikali siyo CCM.
 
Kaka nchi haina utawala imeparanganyika rais ndo huyo anahahaa ,kila mti unateleza unategemea nini
 
Fear is the key.
 
ushauri:tambwe akiwa upinzani alishawahi kusema akirudi ccm labda alale na mama yake,sasa karudi ccm,gues what!ni laana hiyo inayomsumbua tambwe,upupu mtupu hakuna cha maana anachoweza kuongea,nilibadilisha station baada ya kuona sura yake
 
Ndio kashamlala ,mzazi wake hivo. Laanaaaaa
 
Kaka nchi haina utawala imeparanganyika rais ndo huyo anahahaa ,kila mti unateleza unategemea nini

Na waziri mkuu aloachiwa nchi ndo huyo anaishi kwa kubadili ndege mara US, mara Rwanda
 
Huyu bwana si ndo alisema kuwa serikali imepandisha mishahara ndipo magazeti yakashupalia kuwa kima cha chini kinafika 236,000?
 
:A S-danger:
ushauri:tambwe akiwa upinzani alishawahi kusema akirudi ccm labda alale na mama yake,sasa karudi ccm,gues what!ni laana hiyo inayomsumbua tambwe,upupu mtupu hakuna cha maana anachoweza kuongea,nilibadilisha station baada ya kuona sura yake
KULALA NA MAMA YAKO MZAZI NI KUFURU TUPU au sio mana hakuwa kukanusha maneno yake....Waandishi wa Uhuru wamuulize au sio:eyebrows:
 
ushauri:tambwe akiwa upinzani alishawahi kusema akirudi ccm labda alale na mama yake,sasa karudi ccm,gues what!ni laana hiyo inayomsumbua tambwe,upupu mtupu hakuna cha maana anachoweza kuongea,nilibadilisha station baada ya kuona sura yake

.
Mwe!! Ina maana unamaanisha ali ali ali.... Na mama yake?
 
Huyu jamaa naye kajikatia tamaa kabisa, nilimuona jana si yule Tambwe tuliyemzoea enzi za CUF!
 
Tambwe Hiza hakili yake ya kupambanua mambo ilishaingia tabu tangu aliopingia ccm, siku hizi anawaza kama makamba vile! bado ana mawazo yale ya enzi zile za viongozi wa chama na serekali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…