Komando tamimy
Senior Member
- Nov 18, 2020
- 108
- 121
Mapovu ya nini mkuuWewe ni mbabaishaji,utaandikaje unafundisha Geography na Kiswahili kumbe unafundisha Geography na History?
Uwe mkweli siku nyingine.
Political science ndiyo inakupa sifa ya kufundisha general studies, pia uwe na ualimu hapo unasifa zoteGeneral studies ya nini? kwenye cheti kipi?
Mapovu ya nini mkuua
kujiandaa na nini, funguka2015/2016 jiandaeni
Wew ndo mapovu mwalimu uchwara tulia. Hujui ulichosomea na hujielewi pia.Mapovu ya nini mkuu
Kwanini sasa ulidanganya? Wakati wajua ajira za walimu wanaangalia na uhitaji wa hayo masomo?Ajira mpya za walimu mlizoajiri mwishoni mwa Mwaka jana mtu amepata ajira na ameripoti , mnamuandikia barua tena ya kusitishwa ajira sababu ikiwa hajasoma General studies huku mkijua kuwa Vyuo vyote vya Kitanzania General studies inasomwa kama Development studies chuoni na kwenye Transcript imeonekana, mnafeli sana TAMISEMI katika hili.
Nimeandika nafundisha Geography Kiswahili wakati nafundisha history Geography wamenila kichwa.