Sharbel
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,393
- 2,759
Hivi karibuni TAMISEMI wametoa chaguzi za kidato cha tano, na za Vyuo vya Elimu ya Ufundi.
Kwa upande wa kidato cha tano, tarehe wametoa mapema, sijajua upande wa joining instruction, ila upande wa walio pangiwa Vyuo vya Elimu ya Ufundi, ni mtihani.
Waziri wa TAMISEMI aliyasema haya wakati akitangaza chaguzi za kidato cha tano na Vyuo vya Elimu ya Ufundi.
'Ndugu Wanahabari, kwa wanafunzi waliopangwa kwenye Vyuo vya Elimu ya Ufundi watapokea maelekezo ya namna ya kujiunga kutoka katika Vyuo walivyopangwa"
Uhuni ni kuwa kuna baadhi ya vyuo havina website wala account yoyote kwenye mitandao ya kijamii, je hao mliowapangia watapata maelekezo hayo kwa namna gani?