TAMISEMI angalieni Jiografia ya mgawanyo wa Wilaya na Halmashauri

TAMISEMI angalieni Jiografia ya mgawanyo wa Wilaya na Halmashauri

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Katika hilo Mh N/Spika kuna shida kubwa sana TAMISEMI kuhusu matumizi mabaya ya fedha bila kuangalia changamoto.

Mfano: Kuna tamko lilitolewa awamu iliyopita kuwa Halmashauri ziende kwenye maeneo yao ya kiutawala.

Sasa utakuta wapo nje ya jiografia ya huduma na pia unaanza gharama za ujenzi wa ofisi za halmashauri na nyumba za watumishi.

Tatizo hilo lipo pale MUFINDI DC na IRINGA DC

Hatuna vipaumbele vya msingi katika Halmashauri zetu kiss tupo ndani ya halmashauri nyingine
 
Back
Top Bottom