Wizara ya TAMISEMI bajeti yao siielewi kwani inaonekana bora ya jafoo kuliko alieopo ni hatari nyumba zinajengwa kwa mamilioni ya pesa mfano kuna nyumba nimeona inajegwa kwa 830m nyingine uzio tu 170 M hivi mnatutendea haki vijana wa kitanzania na wananchi kwa ujumla. Mlidanganya ajira za waalimu mpk sas hivi kimya mlisema mnasubiri kibali hicho kibali kinatoka USA?
Wizara hazina coordination kila wizara inafanya kazi kivyake yaaani utafikiri kila wizara inatumikia serikali yake.Huu ni wizi mwingine mmbaya wanaofanyiwa watanzania wengi wanakaaa kwenye nyumba za tembe.
Halafu zaidi ya mamilioni yanatumika kwa ajili ya viongozi. Ndio maana wazungu wanatuambia tuna akili za nyani mambo yenyewe ya ajabu toeni ajira jamani.