A
Anonymous
Guest
Habari za kazi ndugu watanzania wenzangu,
Binafsi niwapongeze woote katika juhudi zilizo tukuka kulijenga taifa letu safi la Tanzania,
Nimpongeze Mh. Dr. Samia suluhu Hasan kwa juhudi za kuijenga Tanzania yetu katika nyanja zote za maisha,
Lakini pia kwenye sekta ya elimu hakika unaupiga mwingi.
Ilatu mh. Raisi Kuna watu wanakuangusha katika utekelezaji wa utoaji wa elimu kwa vijana wa kitanzania hasa linapokuja swala la utekelezaji wa sera ya elimu Bure,
Shida huanzia ngazi ya wilaya ofisi ya afisa elimu mpaka kwa wakuu wa shule zilizo nyingi.
Huwezi amini Kuna wakuu wa shule wanamatumizi binafsi ya pesa za E.B.M Kuna shule flani mkoa wa kigoma
Mheshimiwa zifwatiliwe vizuri shule hizi, mkuu wa shule Ile ni money oriented, yaani mda wote anawaza namna ya kujilipa kwenye kazi za uongo na kweli,
Pesa ya maabara inaliwa,
Hakika jamaa kaamishiwa shuleni hapo, badala ya aangalie namna ya kuboresha huduma ya ufundishaji yeye Yuko bize na mambo ya hovyohovyo,
Mfano ilitolewa 1.6mil kutengeneza viti yaani kama pesa ya ukarabati 3000@ lakini hakuna kiti hata kimoja kilicho karabatiwa,
Tukija maabara sisi waalimu wa maabara tunaambiwa tutoe pesa zetu kununua specimens wakati serikali kila mwezi inaweka pesa, ila pesa zinatoka kununua vitu hewa.
Mwaka Jana 2023 shule iliongoza kiwilaya kwa shule za serikali wilaya ya buhigwe kutokana na juhudi nzito za mkuu wa shule aliye kuwepo ambaye alikuwa mtumishi Bora wa wilaya kwa mwaka2023, ila kwa mwaka huu haita ongoza maana juhudi zilizopo siyo za kuboresha taaluma ispokua kuua taaluma ya shule.
Pia Kuna shule inaitwa kishoju sekondari nayo ni shida tu, watoto wa kidato Cha Tano na SITA wanalala njaa au kushinda njaa mara kwa mara mbali na michango ya uendeshaji wa shule wazazi wanayo itoa, mbali na pesa ya Ebm inayo ingizwa na serikali lakini watoto wanashinda njaa, kwani shida Nini shule kubwa kama Ile watoto wetu walale njaa??
Bora hata uongozi wa shule useme kwamba chakula tuchange wazazi kuliko wanetu kushindishwa na kulazwa njaa, masomo hayawezi kwenda pasipo kula, tofauti na hapo watoto itafika muda wataandamana.
Shule za hivyo ni nyingi ambazo zinafanya mambo ya hovyo, tamisemi chukueni hatua madhubuti, fwatilia pesa ya serikali, wananchi wanalipa Kodi ili zitumike kwa usahihi na siyo hayo yanayo endelea.
Naishia hapo kwa Leo.