Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 672
- 860
Ninaomba kujua kwa uwazi hatua sahihi za kufuata pindi ninapotaka kufikisha malalamiko yangu dhidi ya Wakurugenzi na Wakuu wengine wa idara ambao wanafanya ofisi za umma kama kampuni zao.
Waziri Ummy Mwalimu aliwasimamisha kazi Wakurugenzi baadhi kwa kauli kwamba wananchi walifikisha malalamiko dhidi yao.
Mimi pia ninataka kumpelekea Ummy malalamiko ya namna halmashauri inavy swagwa nione kama Ummy atamsimamisha mtu kazi.