Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 672
- 860
Tanga ameondoka mmoja. Unasubiriwa mkeka sijui unakamilika lini. Mungu ashushe rehema zake tuepukane na hilo balaa.Kuna mmoja huku Simiyu akiondoka tu na office nayo imeondoka yaani hakuna delegation of power mambo yote yanalala. Nchi hii inabidi tubadili vigezo vya namna ya kupata viongozi maana kiongozi anaepatikani kwa RUSHWA au kwa IHSAN ya mtu fulani ufanisi wao NI mdogo sana.
Nawe umechosha kila siku kulalama hapa JF kuhusu DED wa Tanga, Hivi amekuchukulia bwana?Ninaomba kujua kwa uwazi hatua sahihi za kufuata pindi ninapotaka kufikisha malalamiko yangu dhidi ya wakurugenzi na wakuu wengine wa idara ambao wanafanya ofisi za umma kama kampuni zao
Ummy mwalimu aliwasimamisha kazi wakurugegenzi baadhi kwakauli kwamba wananchi walifikisha malalamiko dhidi yao.
Mimi pia ninataka kumpelekea Ummy malalamiko ya namna halmashauri inavyo swagwa nione kama Ummy atamsimamisha mtu kazi