TAMISEMI wahamisheni Maafisa Utumishi waliokaa kwenye kituo kimoja cha kazi kwa muda mrefu (Zaidi ya miaka 5) maana utendaji wao wa kazi umekuwa wa kimazoea.
Mfano kuna halmashauri moja Naafisa Utumishi wamekaa hapo kwa miaka 10 toka wameajiriwa, wanafanya kazi kwa mazoea na wanajibu Watumishi kwa kejeli.
Soma Pia: Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko