Wachambuzi wa Kisiasa ni lazima waelewe suala hili.
Tamisemi iko chini ya Ofisi ya Raisi.
Kwa msingi huo Raisi ndiye Waziri wa Tamisemi.
Waziri wa Nchi ofisi ya Raisi / Makamu wa Raisi / Waziri Mkuu sio full Cabinet Minister.
Kwa hiyo kama kuna lawama kwamba Uchaguzi serikali za mitaa unavurugwa basi anayepasa kulaumiwa na kuwajibika ni Waziri mwenyewe, ambaye pia ni Raisi, yaani Samia Suluhu Hassan.
Kama kweli Rais Samia Suluhu alimaanisha anafuata 4R basi alipaswa kukomesha uonevu na hujuma zinazoendelea.