bolivia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2021 Posts 3,219 Reaction score 5,475 Oct 29, 2026 #21 tukio limetokea lini___
B Balqior JF-Expert Member Joined Jun 8, 2021 Posts 3,490 Reaction score 10,749 Oct 29, 2026 #22 Mr Rich said: mrembo akaanza kazi vizuri. Kununua vitu vya ndani akaniomba nimuongozee anunue kitanda sina mambo nikashindwa akaniambia rafiki ya kiume amesema atamuongezea hiyo pesa ambayo sina, Click to expand... Yani wewe ni jobless, na girlfriend wako amepata ajira permanent, ila yeye ndo anakuomba hela ya kununua vitu vya gheto Kama hii story ni kweli basi hio point ni huge red flag Mr Rich
Mr Rich said: mrembo akaanza kazi vizuri. Kununua vitu vya ndani akaniomba nimuongozee anunue kitanda sina mambo nikashindwa akaniambia rafiki ya kiume amesema atamuongezea hiyo pesa ambayo sina, Click to expand... Yani wewe ni jobless, na girlfriend wako amepata ajira permanent, ila yeye ndo anakuomba hela ya kununua vitu vya gheto Kama hii story ni kweli basi hio point ni huge red flag Mr Rich
BumbleBeeBot JF-Expert Member Joined Jun 9, 2015 Posts 478 Reaction score 819 Nov 2, 2026 #23 Bora hata tamisemi imekupa ufunuo kuhusu manzi ako. Inawezekana ungelia zaid huko mbele.