More Chances
Senior Member
- Jun 24, 2022
- 151
- 344
Bora kwenye nini sasaNi moja ya mawaziri wako smart sana kichwani ,kuanzia decision mpaka Social life, kwa muda mrefu nmemfuatilia huyu bwana kazi zake ama kwa hakika namuona mbali sana , Tamisemi imekuwa bora sana chini ya huyu bwana.
Weka like kama unamkubali.
Huyu hata hajui kinachoendelea, wiki iliyopita tu Makonda alikuwa anapokea kero, ambazo 80% za watendaji wa Halmashauri walio chini ya TAMISEMICHANGAMOTO ya TAMISEMI ni ubadhirifu je amefanikiwa Kwa kiasi gani kwenye Hilo??!
Wew mwenyew ndo mchengerwa umekuja kupiga kampeni kijanja, mwambie shetani hapa hapati kituNi moja ya mawaziri wako smart sana kichwani ,kuanzia decision mpaka Social life, kwa muda mrefu nmemfuatilia huyu bwana kazi zake ama kwa hakika namuona mbali sana , Tamisemi imekuwa bora sana chini ya huyu bwana.
Weka like kama unamkubali.