Songwe Yetu
Member
- Nov 22, 2021
- 84
- 99
Tamisemi iimulike wilaya Songwe kwani wilaya hii inajiongoza kama taasisi yenye kujitegemea. (independet Ogani).Imetuhumiwa katika mambo mengi ya ovyo ovyo.
Haya yafuatayo:
1. Haifuati miongozo kutoka serikalini wala ya wizara ambayo iko chini yake. Imeweka miongozo yake na sheria zake ambazo zimekaaa kiupigaji na kujinufaisha wafanyakazi wa hapo. Na wanufaika wa mifumo hii DED, DC Na HR.
Wameanzisha sheria zao ambazo ni kinyume na ni kwa maslahi yao.
2. Kuna upigaji mkubwa umefanyika kwenye ujenzi wa hospitali na zahanatiza wilaya zinazoendelea ambapo DMO ametolewa kafala kwa kusimamishwa kazi.
Lakini upigaji huu umefanyika kushirikiana maofisa walioko hapo halmashauri. Ukianzia muhasibu wa wilaya, afisa utumishi, mainjinia, DED, DAS,DC.
Hawa wamehusika kwa kiasi kikubwa katika utafunaji wa pesa hizi. Hii inadabibishwa na kutofuata miongozo kutoka tamisemi.Wenyewe wamejitungia sheria zao ambazo zinawaongoza kiupigaji.
Ushauri
Serikali ifanye reforms ya viongozi hawa kwa maslahi ya wana Songwe