moe junior
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 904
- 937
Naongea jambo hili kwa uchungu mkubwa sana.Takribani siku ya tatu sasa tangu majina ya walimu wapya yatangazwe,cha ajabu majina yetu ya sjut-dom(shahada) hayapo kwenye orodha kama 300 na ushee,hamuoni kwamba huu ni ubaguzi ingekuwa chuo kingine mf.udsm mngewaacha hivyo?au sisi tulikuwa tunasoma mambo tofauti na wengine?Tamisemi kisikieni kilio hiki cha watanzania tunaopenda kuitumikia nchi yetu.Mungu ibariki tanzania.
Hili tangazo lilitolewa na nani ndugu yangu.
... Nadhani waligundua udhaifu wa elimu yako!ivi ajira za walimu mwaka huu walitumia vigezo gan kuajiri maana nimewaza mpaka nimekonda
Hatimaye wana SJUT-DOM ambao tulikosa ajira leo tr.03,tamisemi wametuajiri wote 318,na tunaripoti pamoja na wenzetu.Mungu awabariki wote mliotuombea pia awasamehe wale waliokuwa wanatoa maneno ya dhihaka kwetu.
Hongera ndugu, yani naona kama mimi na wewe ndo tulikuwa mstari mmoja. Nashkuru Mungu, kweli subira yavuta heri. Wamenipanga halmashauri ya moshi mjini. Ila kuna wenzangu tulihangaika wote na bado hawajapangwa, wako kama 46.
jabulan acha kupwayuka kama huna cha msingi cha kuchangia sawa we unajua ambao hatujapangiwa elimu yetu ikoje????? ncje nkakutukana -------- ww #Jabulan