wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 495
- 775
Kutokana na taharuki kuzidi kuendelea hapa nchini kuhusiana na ile issue ya kidato cha tano ni vyema wizara husika ikawajibika kwa hilo.
Vile vile ni vyema ikafumuliwa kabisa kama ilivyofanyika kwa NBS, Wizara ya Fedha.
Lakini Waziri Ummy inabidi aache tabia ya kuzisemea ofisi za Ma-RC eti hawafanyi kazi bila hata ya kuchunguza sababu za kutofanya kazi.
Waziri Ummy study ofisi kwanza na sio kukimbilia kimbilia kwenye vyombo vya habari ili mama akuone.
Taratibu utafika