Jambo we!
Mwaka 2019 walijaribu Kama tuna uwezo wa KUKATAA wanachoamua, wakasambaza viongozi ngazi za chini ambao hatukuwapigia kura ... KIMYA.
WALIPOONA KIMYA .
2020 wakasimika Tena viongozi ngazi za juu pasipo kujali Kama wanakubalika au lah! - KIMYA .
SASA ....
2021 Vijana wetu wanataka kuwapeleka kusoma both ambavyo sio machaguo yao .
Je, Tuendelee kuwa kimya au tupaze sauti KUKATAA kuburuzwa?