LGE2024 TAMISEMI: Jumla ya vijiji 12, 333, mitaa 4,269 na vitongoji 64, 274 vitashiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za Mitaa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa jumla ya vijiji 12, 333, mitaa 4,269 na vitongoji 64, 274 vitashiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Katika orodha hiyo kumejumuishwa maeneo yaliyokuwa yamefutwa awali kwa mujibu wa tangazo la serikali ambayo pia yalihusisha Tarafa ya Ngorongoro mkoani Arusha.

"Matangazo haya yanajumuisha maeneo yaliyokuwa yamefutwa awali kwa mujibu wa Tangazo la serikali namba 673 na 674 ambayo yalihusisha pia Tarafa ya Ngorongoro. Lengo la hatua hii ni kuhakilisha kuwa maeneo haya yanapata uwakilishi mzuri kiutawala pamoja na huduma za kijamii na kiuchumi zinazowiana na mahitaji ya wananchi, amesema Waziri.

Waziri Mchengerwa amesisitiza umuhimu wa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi huo katika kuunda serikali ya wananchi kidemokrasia ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwa wingi kwenye daftari la mpigakura kwa mustakabali wa maendeleo na kuendeleza juhudi za serikali katika kujitafutia maendeleo endelevu.

SHERIA KUTOTUNGWA KWA MAKUSUDI KWAIPA TAMISEMI MENO NA MAMLAKA

Wakati tukisubiri tukio hili muhimu lazima kupata historia tumefikaje hapa watanzania.

Mkwe wa mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni waziri katika ofisi ya rais tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI leo kuongoza na kutoa miongozo ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa November 2024

Wizara ya TAMISEMI imepewa jukumu hiki zito baada ya bunge kushindwa kutunga sheria kuipa meno INEC Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania kusimamia uchaguzi huo

Serikali ya CCM kujiburuza kutoweka kiraka katika katiba ili uchaguzi uwe huru na wa haki, wanatumia hoja ya kiufundi :

Mambo mazito yaelezewa kwa kina :

:FIRE: MAZITO : kisheria yafafanuliwa

BUNGE KUTOTUNGA SHERIA INAIPA TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI

View: https://m.youtube.com/watch?v=zsVIiXNjhlg

2024 Majukumu ya Tume INEC:

10.-(1) Kwa kuzingatia matakwa ya Ibara za 74(6), 75 na 78 za Katiba, Tume itakuwa na majukumu yafuatayo:

(a) kusimamia na kuratibu uandikishaji wa wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Rais na Wabunge katika Jamhuri ya Muungano na uchaguzi wa Madiwani kwa Tanzania Bara;

(b) kusimamia na kuratibu uendeshaji wa uchaguzi
wa Rais na Wabunge na uchaguzi wa Madiwani
kwa Tanzania Bara;

(c) kusimamia na kuratibu uendeshaji wa uchaguzi
wa serikali za vijiji, mitaa na vitongoji TanzaniaBara kwa kuzingatia utaratibu utakao ainishwa katika Sheria itakayotungwa na Bunge;

(d) kuchunguza mipaka na kuigawa Jamhuri ya
Muungano katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya
uchaguzi wa Wabunge;

(e) kuteua na kuwatangaza Wabunge Wanawake wa
Viti Maalumu katika Jamhuri ya Muungano na Madiwani Wanawake wa Viti Maalumu kwa Tanzania Bara;

(f) kuandaa na kusimamia Kanuni za Maadili ya.....

Source :
SHERIA YA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YA MWAKA
2024 (22nd March, 2024
ACT SUPPLEMENT To The Gazette of the United Republic of Tanzania No. 12 Vol. 105 Dated 22
nd March, 2024Printed by The Government Printer, Dodoma by Order of Government)

Wakili msomi anafafanua mkanganyiko uliopo katika jamii, Tume Huru ya Uchaguzi pamoja ya kupewa mamlaka ya kusimamia chaguzi, tatizo bunge la chama kimoja haijapitisha sheria bungeni kuipa meno kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa November 2024 mawakili wasema.....

Zaidi ya hilo uchaguzi wa serikali ya mitaa ili uweze kupiga kura lazima uwe unaorodhoshwe ktk daftari ikiwemo .... bila kujiandikisha kwenye daftari hutaweza kupiga kura uchaguzi wa TAMISEMI November 2024...

Mpaka itapotungwa sheria bungeni waziri wa TAMISEMI ataendelea kusimamia uchaguzi wa November 2024 ....

Ni lazima tena kujiandikisha ktk daftari la Serikali ya Mitaa ili uweze kupiga kura November 2024 .....
 
Pia kule Mahakama Kuu kulifunguliwa kesi ya maombi na wananchi watatu kwa niaba ya mamilioni ya watanzania :

Tanzania hakuna uchaguzi ni kiini macho cha kuombea fedha kwa wazungu,IMF na WB
Hili mbona tunalielewa muda tu,,,kwani hadi tunaingia kwenye siasa za vyama vingi unadhani tulitaka au ilikua kutimiza tu matakwa ya hao wakubwa ili mpunga uingie,,,,ndo maana CCM haiwezi kutoka madarakani maana hivi vyama vya upinzani kwanza vina watu wengi wa system na vimewekwa ili kupoteza maboya tu ili mambo yaende na pesa ya mzungu iingie ila huku hakuna siasa za vyama vingi,,,,,,,,,,Tanzania ni mtaalam wa kula na kipofu hamshiki mkono........shida wanatokea maboya fulani wanataka kuingiza siasa za Kenya wakifikiri huku bongo zitafanya kazi , wakati ni nchi 2 tofauti na zinaendesha mambo yao tofauti,,,,,kule Gen Z wamekichafua kuna maboya wakafikiri Gen Z ya huku pia wanaweza kuamsha wakati Gen Z ya huku utopolo kabisa kaz yao ni kusambaza UTI sugu tu halafu ndo unawategemea kwenye siasa zako.....
 
Ni lazima tena kujiandikisha ktk
Tanzania hakuna uchaguzi ni kiini macho cha kuombea fedha kwa wazungu,IMF na WB

daftari la Serikali ya Mitaa ili uweze kupiga kura November 2024 .....

Hili mbona tunalielewa muda tu,,,kwani hadi tunaingia kwenye siasa za vyama vingi unadhani tulitaka au ilikua kutimiza tu matakwa ya hao wakubwa ili mpunga uingie,,,,ndo maana CCM haiwezi kutoka madarakani maana hivi vyama vya upinzani kwanza vina watu wengi wa system na vimewekwa ili kupoteza maboya tu ili mambo yaende na pesa ya mzungu iingie ila huku hakuna siasa za vyama vingi,,,,,,,,,,Tanzania ni mtaalam wa kula na kipofu hamshiki mkono........shida wanatokea maboya fulani wanataka kuingiza siasa za Kenya wakifikiri huku bongo zitafanya kazi , wakati ni nchi 2 tofauti na zinaendesha mambo yao tofauti,,,,,kule Gen Z wamekichafua kuna maboya wakafikiri Gen Z ya huku pia wanaweza kuamsha wakati Gen Z ya huku utopolo kabisa kaz yao ni kusambaza UTI sugu tu halafu ndo unawategemea kwenye siasa zako.....
NEC na ZEC ni Makundi au ni Magenge tu ya watu fulani fulani yaliyopo hapa nchini ili kupanga, kuratibu na Kusimamia Vitendo vya Ghiriba kwa lengo la kuwageresha na kuwazuga Wananchi wa nchi hii katika kuamini kwamba Kuna Chaguzi za Siasa kwa ajili ya Utawala wa nchi.
 
Kupiga kura,kushiriki uchaguzi ni kujipotezea muda tu

Ova
 
Huu ni usumbufu mkubwa.
Nikapange foleni kujiandikisha kwenye dafyari la serikali za motaa!
 
Back
Top Bottom